
Digital OnlineTorintohot media Blog Na Jerome Mlaki, DSM. .Akizungaumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta binafsi na waalikwa Katika kikao hichi Afisa Mtendaji Mkuu (PPRA).Mh. Eliakim Maswi amesema kuwa mfumo huu wa ununuzi unaojulikana kwa Jina la Nest utasaidia Sana kuweka wazi Namna utendaji wa shughuli za mauziano zinavyoenda na hivyo kuziba...