Digital Online
Torintohot media Blog.
Na. Jerome Mlaki wa Dar.
SEMINA YA UWASILISHAJI, USAMBAZAJI NA UHAMASISHAJI WA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
Mh. Eng. Hamadi Masauni
Waziri wa mambo ya ndani. Mgeni rasmi wa semina
Mh. Eng. Hamadi Masauni Waziri wa mambo ya ndani. Mgeni rasmi wa seminaViongozi wa dini wananafasi kubwa ya kuhamasisha maendeleo Katika inchi lakini pia viongozi wa dini wakielewa matumizi ya matokeo ya sensa ya Watu na Makazi wananafasi kubwa ya kuelimisha jamii Katika matumizi ya matokeo na kurahisisha utekelezaji wa shughuli za kimaendeleo.
Matokeo ya sensa pia yanaisaidia Sana Serikali hasa Katika idara ya kulinzi hata Katika kutambua Namna watakavyo simamia raia mali zao.
Matokeo ya sensa ya watu na makazi yanarahisisha pia hata Katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo Shule, maji umeme, barabara, Zahanati nk.
Kamisaa wa sensa ya watu na makazi ya
Mwaka 2022 Mh. Anna Makinda spika wa Bunge mstaafu amesema kuwa ipo haja wataalam kutumia matokeo ya sensa Katika kufanya maamuzi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi.
Mh. Anna Makinda amesema kuwa ipo haja ya wataalam mbalimbali inchini kuyatumia mtokeo ya sensa Ili kuyaona mahitaji mbalimbali ya kimaendeleo kwa wananchi.
Ameongeza kuwa semina hii imelenga kuwaelimisha wadau wa maendeleo kuyajua matokeo ya sensa na kuyatumia Katika shughuli za kimaendeleo.
0 maoni:
Chapisha Maoni