Digital Online
Torintohot media Blog
Na Jerome Mlaki, DSM.
.
Akizungaumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta binafsi na waalikwa Katika kikao hichi Afisa Mtendaji Mkuu (PPRA).Mh. Eliakim Maswi amesema kuwa mfumo huu wa ununuzi unaojulikana kwa Jina la Nest utasaidia Sana kuweka wazi Namna utendaji wa shughuli za mauziano zinavyoenda na hivyo kuziba mianya ambayo ingeweza kujitokeza kutokana na ukosefu wa mfumo huu.
Aidha Mh. Eliakim Maswi Asema kuwa mfumo huu wa ununuzi wa umma umekuja kwa lengo la kuraisisha utekelezaji mbalimbali wa shughuli za kibiashara na Tena kwa uwazi zaidi ambapo washiriki wote wa manunuzi wataweza Fanya shughuli kwa Mazingira yalioboreshwa Katika mfumo wa kidigilitali.
Faida ya kwanza ya mfumo huu wa ununuzi wa umma ni kuongezeka kwa uwazi zaidi ambapo washiriki wa biashara wataweza kufanya biashara Katika mazingira ambayo ambayo watu mbalimbali Wanaona mwanzo mwisho.
Faida ya pili kuongezeka kwa uwajibikaji watumishi wa idara wataweza kuonekana utekelezaji wao wa Kazi hivyo inapunguza uzembe Katika utekelezaji wa Mfumo.
Mh. Eliakim Maswi amesema kuwa mfumo huu wa ununuzi unaojulikana kwa Jina la Nest utasaidia Sana kuweka wazi Namna utendaji wa shughuli za mauziano zinavyoenda na hivyo kuziba mianya ambayo ingeweza kujitokeza kutokana na ukosefu wa mfumo huu.
Faida nyingine ni urahisi wa kupata taarifa na Tena zilizo sahihi, mfumo huu unarahisisha Kazi zifanyike kwa wakati na upatikanaji wa taarifa za Kazi hata mtu akiwa mbali Bado anaouwezo wa kujua kinachoendelea..amesema Mh. Maswi. .
0 maoni:
Chapisha Maoni