WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Alhamisi, 29 Desemba 2016

 02:13      No comments
HOTUBA YA NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO .
Naibu waziri awaasa watendaji wa wizara ya ujenzi na uchukuzi na mawasiliano kuzingatia nidhamu ili kuleta tija na ufanisi katika eneo la kazi, ikiwa mtumishi atakosa nidhamu niwazi mtumishi huyo kwa nafasi yake anazorotesha ufanisi sehemu ya kazi, nidhamu ni kiungo muhumu katika kupata mafanikio.
“uwepo wa migogoro baina ya watumishi sio tu niukosefu wa nidhamu bali pia ni kikwazo kikubwa katika kuleta ufanisi mahali pa kazi…” amesema Naibu Waziri, Edwin Ngonyani.
Hata hivyo ametoa rai kwa vingozi kufanya kazi kwa uwazi kwa kuthamini michango ya wanao waongoza na amesisitiza kuwa haipendezi kuona mambo yanaendelea katika sehemu ya kazi ilihali watumishi wenyewe hawajui kinachoendelea “tuache tabia za ubwana bali tuongoze walio chini yetu kistaarabu kwa uadilifu mkubwa na kwa ridhaa yao, tukifanya hivyo tutapunguza kama sio kuondoa manung’uniko na migogoro katika sehemu zetu za kazi“.
Vilevile kwa upande mwingine ametoa taaarifa zihusuzo mjadala utakaohusu mambo kadhaa kama; kupitia na kupitisha miundo ya watumishi na mgawanyo wa kazi, taarifa za saccos –taa na uzinduzi wa katiba ya chama cha kufarijiana pamoja na taarifa za utendaji ambapo kupitia mijadala hiyo italeta suluhisho la changamoto zinazowakabili katika kufikia malengo yao.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *