WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Alhamisi, 29 Desemba 2016

 02:15      No comments
MAREKANI.
Wapenzi wa filamu na wale mnaofuatilia sinema duniani na hasa sinema maarufu ya VITA YA NYOTA.

Mwigizaji filamu na mwandishi ni bora Carrier Fisher ambaye alipata umaarufu wakati alipocheza kama Princess Leia kwenye filamu inayojukana kwa jina la ‘Star Wars’, msanii huyo alilazwa hospitalini Desemba 23 mjini Los Angeles baada ya  kupatwa na shinikizo la moyo.

Carrie Fisher ambae alipata umaarufu wa kimataifa kwa kucheza nafasi ya Princess Leia kwenye filamu ya Star Wars amefariki dunia Jumanne ya wiki hii akiwa na umri wa miaka 60.

Carrie Fisher ambae alipata umaarufu kimataifa kwa kucheza nafasi ya Princess Leia kwenye filamu ya Star Wars, Carrier alipata shinikizo la moyo wiki iliopita akiwa kwenye ndege kuelekea Los Angeles dakika 15 kabla ya kutua.

Daktari aliyekuwa kwenye ndege hiyo alimpa huduma ya kwanza hadi pale alipopelekwa hospitalini baada ya ndege kutua ambapo kufikia Jumapili familia yake ilisema kuwa hali yake ilikuwa imeimarika. Hata hivyo Jumanne bintiye Billie Lourd alitoa taarifa kupitia msemaji wake kuhusu kifo cha Fisher.

Ukiacha filamu ya Star Wars aliyoigiza Princess Leila pia atakumbukwa kutokana na kumudu kucheza kwenye filamu kama Austin Powers, The Blue Brothers, Hannah and Her Sisters na When Harry Met Sally.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *