WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Alhamisi, 7 Desemba 2023

 14:38      No comments



Na Joseph Liemi wa Dar es Salaam 
Na Digital torintohot Online

Maafali ya Chuo Kikuu Ardhi Dar es Salaam.



Chuo Kikuu Ardhi Dar Es Salaam wana huduma Bora za ufundishaji na hivyo kupelekea kushika nafasi ya 10 Katika ukanda wa Africa kusini kwa vyuo vilivyopo ukanda wa jangwa la Sahara.

Ikumbukwe kwamba Chuo Kikuu Ardhi Dar es Salaam ni Chuo chenye kusimamia nidham na kuhusisha ufundishaji bora wa viwango vya juu Sana na safari hii Katika maafali haya Chuo hichi kimefanikiwa kuwa na idadi ya wanafunzi wengi waliohotimu taaluma mbalimbali.



 













Chuo Kikuu Ardhi Dar Es Salaam wana huduma Bora za ufundishaji na hivyo kupelekea kushika nafasi ya 10 Katika ukanga wa Africa kusini kwa vyuo vilivyopo ukanda wa jangwa la Sahara.

Ikumbukwe kwamba Chuo Kikuu Ardhi Dar es Salaam ni Chuo chenye kusimamia nidham una kuhusisha ufundishaji wa viwango vya juu Sana na safari hii Katika maafali haya Chuo hichi kimefanikiwa kuwa na idadi ya wanafunzi wengi waliohitimu chuokikuu  Ardhi Dar Es Salaam wana huduma Bora za ufundishaji na hivyo kupelekea kushika nafasi ya 10 Katika ukanga wa Africa kusini kwa vyuo vilivyopo ukanda wa jangwa la Sahara.

Ikumbukwe kwamba Chuo Kikuu Ardhi Dar es Salaam ni Chuo chenye kusimamia nidham una kuhusisha ufundishaji wa viwango vya juu Sana na safari hii Katika maafali haya Chuo hichi kimefanikiwa kuwa na idadi ya wanafunzi wengi waliohotimu.














Chuo Kikuu Ardhi Dar es Salaam kimeweza kushika nafasi ya 10 Africa Katika inchi zilizopo Katika ukanda wa Jangwa la Sahara

Vyuo vilivyoshindanishwa ni 120 na Chuo Cha Ardhi kimechukua nafawasi ya 10 Kati ya Vyuo 120 vilivyotajwa kwa mwaka 2023.. 

Ushindi huo umeendelea kukitambulisha vizuri sana Chuo Katika ulimwengu wa wawatoa huduma za kitaaluma lakini pia ushindi huo umeitambusha Tanzania vyema na kusababisha kizidi kuaminika Katika ulimwengu wa wawatoa taaluma.



 






















Aidha siku Moja kabla ya Maafali wahitimu wa Chuo hicho waliweza kukutana Ili kujadili changamoto mbalimbali Katika taifa kama afya, Mipango miji, na mabadiliko ya tabia inchi janga ambalo linaikumba Dunia Katika maeneo ya mataifa mbalimbali na kusabisha hewa ya ukaa. 






Katika majadiliani Yao wahitimu waliweza kushindanisha taaluma na kuweza kuchakata mawazo ya pamoja Namna ambayo wanaweza kulisaidia Taifa Katika kupambana na mabadiliko ya tabia inchi.


Wahitimu pamoja na wafanyakazi wa Chuo hicho waliweza kutoa ushauri Kwa wananchi kupitia vyombo vya habari mbalimbali na kusema ipo haja ya wataalam Kubuni njia mbalimbali za matumizi ya mapishi mbalimbali Ili kuondokana kabisa na matumizi ya mkaa ambayo yanazidi kusababisha misitu kukatwa hovyo hovyo Jambo linalochochea mabadiliko ya tabia inchi na hewa ya ukaa.





Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi Dar es Salaam Mh. Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu mstaafu amesema utoaji wa huduma Bora ndio ulioipa hadhi ya kimataifa Tanzania kupitia Chuo Cha Ardhi na kuipa heshima Tanzania Katika viwango vya kimataifa na kuipandisha mpaka nafasi ya 10. 

Aidha Mh. Mohammed Chande Othman Jaji Mkuu mstaafu amewapongeza watendaji wote wa Chuo kwa ujumla kwa utumishi mwema uliotukuka Tena wenye viwengo vikubwa vya ubora na kwamba Bado ipo haja ya kujenga ushirikiano wa pamoja Katika utoaji huduma utakaozidi kukipa Chuo hadhi zaidi kimataifa.

Hata hivyo kwa upande wa wahitimu amesema anawatakia utendaji Bora wa majukumu kulingana na taaluma zao na amesema watumie taaluma zao Ili kutatua changamoto mbalimbali Katika taifa na kukiletea Chuo sifa njema kwa kuwa na nidhamu na weledi na uzalendo Katika utekelezaji wa majukumu kazini.

Chande amempongeza Mh. Rais Dk. Samia Suluhu Hasani kwa Namna anavyolipigania taifa na kulitambulisha zaidi kimataifa kwani Mh. Rais Dk Samia Suluhu Hasani amekuwa kipaumbele Katika kusaidia elimu iweze kutolewa kwa viwango vya kimataifa na hatimae taifa kupata wataalam watakaotatua kero mbalimbali za wananchi na kusukuma gurudumu la maendeleo kwa ujumla Katika Taifa.







0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *