Daktari Bingwa wa upasuaji wa Hospitali ya Aga Khan Idan Njau katikati akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu operesheni za kuotesha matiti yaliyoathiriwa na Kansa pamoja na kurekebisha viungo mbali mbali vilivyoathiriwa na majanga ya Moto na ajali mbali mbali, zoezi la operesheni hizo zinaanza leo na tayari wagomjwa wawili wamefanyiwa bila malipo yoyote.
Seraphin Lusaka Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Serena Hoteli akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani, kuhusu ushioriki wao katika mpango huo kama wadhamini
0 maoni:
Chapisha Maoni