Na Mwandishi Wetu
Joseph Lieme
Usafiri aina ya bajaji unarahisisha maisha hasa kwa wananchi
ambao wanavipato vya chini,
Katika usafiri huo wa bajaji pia unasaidia vijana
wengi kupata ajira kutokana na kujiari kwa njia ya kutoa huduma ya kusafirishaji abiria kutoka eneo moja kwenda lingine.
Katika matumizi ya bajaji kuna kitu ambacho vijana wengi
wanatamani kama kisingekuwepo ili waweze kunufaika Zaidi na Zaidi.
Je kitu hicho Unakijua basi endelea kufuatilia story nzima na Torinto Hot Blog.
Biashara yeyote huwa inaitaji ubunifu ili kujipatia faida zaidi ila katika pajaji kitu kinachowaumiza zaidi watumiaji ni mafuta.
Wanasema unapotaka kuanza safari yeyote kwa kutegemea bajaji basi ni lazima uangalie mafuta kwanza ukishahakikisha chombo hicho kina mafuta ndipo unapata uhakika wa safari jambo Hilo linasababisha kutokupata faidi nyingi
ikilinganishwa na kama bajaji ingekuwa haitumii mafuta.
Unapopata bajaji ambayo haitumii mafuta yani nisawa na
kufanya biashara isiyo na msingi kiasi chochote utakachopata kinaweza kukidhi
hesabu ya siku na kutengeneza nafasi ya kutimiza malengo kiwepesi, kwa hiyo suala
la kupatikana kwa bajaji isiyotumia mafuta ni lamsingi.
Katika hilo sasa ndipo hapo narudi juu kwamba AsanteWESTWOOD TREDEMARK COMPANY LTD. KWA KUTULETEA BIASHARA KUBWA ISIYO NA MSINGI
Bajaji na Bajaza zisizotumia Mafuta |
Katika inchi ya Tanzania kuna vijiji ambavyo havina sheli
kabisa au ukihitaji mafuta basi kunaulazima wa kwenda umbali mrefu ili kuyapata
mafuta jambo ambalo linasababisha kuzorota kwa biashara ya kusafirisha abiria
kwa kutumia bajaji.
Bajaji Isiyotumia Mafuta |
0 maoni:
Chapisha Maoni