Na Adam kashindye wa Dar .
Serikali imesema tayari wakaazi wa Mkoa wa Tanga wameanza kunufaika na Bishara hiyo ambapo Zaidi ya Shilingi Bilion moja zimeweza kupatikana na Bishara hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Mali Asili na Utalii Angela Kairuki amesema Vijiji 8 villkivyopo katika mkoa wa Tanga wameweza kujenga hospitali kupitia Mradi huo.
"Fedha hizo zimetokana na Miradi mbalimbali ikiwemo uhifadhi wa hewa carbon imesajaliwa ambapo zaidi ya Bilioni 20 zimepatikana kutokana na Carbon"Alisema waziri Angela Kairuki.
Meneja Uendeshaji wa Africa Carbon Agency Cosmas Tungaraza amesema kuwa kampuni yake imelenga kupambana na hewa ya Ukaa,Ambapo biashara ya carbon inalenga uhifadhi wa hewa hiyo.
Alisema kupitia Mradi huo taasisi yake imeweza kiasi kadhaa ya hewa ya ukaa.
"Biashara ya Carbon inalenga kunguza na kuifadhi wa Hewa ya ukaa".Alisema Meneja uendeshaji Africa Carbon Agency Cosmass Tungaraza
0 maoni:
Chapisha Maoni