WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Alhamisi, 23 Novemba 2023

 02:16      No comments

 

Prease

....................

Adam kashindye 

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Waziri waMali Asili na Utalii Angela Kairuki amesema Vijiji 8 villkivyopo katika mkoa wa Tanga wameweza kujenga hospitali kupitia Mradi huo.

KATIKA kuhakisha Tanzania inanufaika na Biashara ya Carbon ,Serikali imesema tayari wakaazi wa Mkoa wa Tanga wameanza kunufaika na Bishara hiyo ambapo Zaidi ya Shilingi Bilion moja zimeweza kupatikana na Bishara hiyo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Waziri waMali Asili na Utalii Angela Kairuki amesema Vijiji 8 villkivyopo katika mkoa wa Tanga wameweza kujenga hospitali kupitia Mradi huo.

"Fedha hizo zimetokana na Miradi mbalimbali ikiwemo uhifadhi wa hewa carbon imesajaliwa ambapo zaidi ya Bilioni 20 zimepatikana kutokana na Carbon"Alisema waziri Angela Kairuki.

Meneja Uendeshaji wa Africa Carbon Agency Cosmas Tungaraza amesema kuwa kampuni yake imelenga kupambana na hewa ya Ukaa,Ambapo biashara ya carbon inalenga uhifadhi wa hewa hiyo.

Alisema kupitia Mradi huo taasisi yake imeweza kiasi kadhaa ya hewa ya ukaa.

"Biashara ya Carbon inalenga kunguza na kuifadhi wa Hewa ya ukaa".Alisema Meneja uendeshaji Africa Carbon Agency Cosmass Tungaraza.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *