Torintohot media Blog.
Na Jerome Mlaki wa Dar
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa 11 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa 11 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA)wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simabachawe iliyotolewa na Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) ikiwa ni shukurani kwa Rais kutokana na mchango wake mkubwa katika kuiheshimisha taaluma ya kutunza kumbukumbu na nyaraka nchinil. Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 11 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Oktoba 27, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni