Torinto Hot media Blog.
Na Jerome Mlaki wa DAR.
Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Fahari ya Mama amesema mkaa mbadala unasaidia kuboresha mazingira na unauzwa bei Nafuu.
Hivyo ipo haja vikundi mbalimbali vya maendeleo kuiona fursa hii na kuwekeza ili kupunguza tatizo la ajira hapa Inchini.
Mwajumbe amesema kuwa mkaa mbadala nisuluhisho kwa mahitaji ya mapishi hivyo vikundi mbalimbali vya wamama vinaweza kutumia fursa kwa Kubuni mradi huu na kuuendeleza hatimae kutengeneza nafasi za kazi ambazo zitawapeleka katika jitihada za kujikwamua na umaskini.
Kampuni ya Fahari ya Mama imekuja na mpango mrahisi Bora Tena unaotunza mazingira mpango huo ni mkaa mbadala.
Mkuruge tasisi isiyo ya kiserikali ya Fahari ya Mama amesema mkaa mbadala unasaidia kuboresha mazingira na unauzwa bei Nafuu
Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Fahari ya Mama amesema mkaa mbadala unasaidia kuboresha mazingira na unaunzwa bei Nafuu.
Mwajumbe M. Waziri ambae ndie mkurugenzi wa kampuni ya Fahari ya Mama amesema mkaa huo unawaka vizuri na unawai Sana kiivisha chakula lakini pia Hauna moshi.
Mkurugenzi wa Tasisi isiyo ya kiserikali ya fahari ya Mama amesema changamoto zinazowakabili wanawake zinaweza kutatuliwa na wamama wenyewe kwa kuchangamikia fursa mbalimbali za miradi ya maendeleo.
Mkurugenzi amesama, wanawake wenyewe kwa kutazama fursa zinazopatikana hasa za ubunifu unaolenga kutatua changamoto za kila siku katika masuala mbalimbali ya mahitaji ya nyumbani.
Mwajumbe amesema kuwa mkaa mbadala nisuluhisho kwa mahitaji ya mapishi na vikundi mbalimbali vya wamama vinaweza kutumia fursa ya Kubuni mradi huu na kuuendeleza hatimae kutengeneza fursa ya ajira.
Mwajumbe M. Waziri ambae ndie mkurugenzi wa kampuni ya Fahari ya Mama amesema mkaa huo unawaka vizuri na unawai Sana kiivisha chakula.
Mkurugenzi wa Tasisi isiyo ya kiserikali ya fahari ya Mama amesema changamoto zinazowakabili wanawake zinaweza kutatuliwa.
Mkurugenzi amesama, wanawake wenyewe kwa kutazama fursa zinazopatikana hasa za ubunifu unaolenga kutatua changamoto za kila siku katika masuala ya kupika.
Mkurugenzi Mwajumbe amesema kuwa mkaa mbadala nisuluhisho kwa mahitaji ya mapishi na vikundi mbalimbali vya wamama vinaweza kutumia fursa ya Kubuni mradi huu na kuuendeleza hatimae kutengeneza fursa ya ajira.
0 maoni:
Chapisha Maoni