na. JEROME MLAKI, DAR.
UKUTA WA UFUKWE WA BAHARI ULIOJENGWA KANDO YA BARABARA YA BARACK OBAMA JIJINI DAR ES SALAAM SASA KUWA KIVUTIO KWA WANADAR ES SALAAM
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Mwakilish Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez akizungumza na wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba, akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati wa sherehe za uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akikagua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam mara baada ya kuuzindua mapema hii leo, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Sehemu ya kupumzika iliyojengwa katika ukuta wa ufukwe wa bahari ya Hindi uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Msanii Beka Fleva akitoa burudani kwa wananchi wakati wa sherehe za uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,(hayupo pichani) wakati wa sherehe za uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwapungia wananchi mara baada ya kuzindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
DAR ES SALAAAM.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
amewataka Viongozi wa ngazi zote kuongeza nguvu katika utekelezaji wa
Sera, Sheria, Mikakati na miongozo katika kukabiliana na uharibifu wa
mazingira.
Makamu wa Rais wa ameyasema hayo wakati wa Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kitaifa yamefanyika
jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja. Ni muhimu, mipango
ya maendeleo katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira ili nchi yetu
iwe na maendeleo endelevu” alisema Makamu wa Rais.
Makamu wa
Rais amesema kazi ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa hifadhi ya
mazingira unahitaji ushirikiano wa wadau wote kwa ngazi zote.
Maadhimisho ya Kimataifa yanafanyika India katika mji wa New Delhi
yakibeba ujumbe wa kuhimiza kupunguza uchafuzi wa mazingira kutokana na
matumizi ya bidhaa za plastiki (Beat Plastic Pollution) lakini hapa
nchini Kitaifa ujumbe wa maadhimisho ni “Mkaa Gharama: Tumia Nishati
Mbadala”
Mapema leo, jana Makamu wa Rais alizindua ukuta wa bahari
uliopo kwenye barabara ya Barack Obama wenye urefu wa mita 920, ukuta
huo ambao umejengwa kuzuia bahari kuingia nchi kavu unakadiriwa kuwa na
maisha kati ya miaka 70 mpaka 100 kutoka sasa. Makamu wa Rais amesema
kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kujenga uchumi wa Viwanda na
zipo faida nyingi za hifadhi na usimamizi zitakazotokana na Tanzania
kuwa na Viwanda.
Mwisho, Makamu wa Rais amesema katika
kufanikisha suala zima la uhifadhi wa Utunzaji wa mazingira mi lazima
tuifanye kila siku iwe siku ya Mazingira.
Post a Comment

0 maoni:
Chapisha Maoni