WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumanne, 12 Juni 2018

 02:35      No comments

tORINTO HOT BLOG.


Na Jerome Mlaki.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Bw.
Leonard Kushoka mfano wa hundi yenye thamani ya shiliningi za
kitanzania milioni 300 mara baada ya kuibuka mshindi wa shindano la
teknolojia ya nishati mbadala wa mkaa mwaka 2018, wengine pichani ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.
January Makamba na Mwenyekiti Mkazi wa Kampuni ya Shell Bw. Axel Knospe.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




DAR ES SALAAM.





Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
amewataka Viongozi wa ngazi zote kuongeza nguvu katika utekelezaji wa
Sera, Sheria, Mikakati na miongozo katika kukabiliana na uharibifu wa
mazingira. 



Makamu wa Rais wa ameyasema hayo wakati wa Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kitaifa yamefanyika
jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja.huku akiongeza kuwa  Ni muhimu, mipango
ya maendeleo katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira ili nchi yetu
iwe na maendeleo endelevu sambamba na kuwa na utashi wa kisiasa katika kuyatunza mazingira hayo. 



Makamu wa
Rais amesema kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa hifadhi ya
mazingira unahitaji ushirikiano wa wadau wote kwa ngazi zote.
Maadhimisho ya Kimataifa yanafanyika India katika mji wa New Delhi
yakibeba ujumbe wa kuhimiza kupunguza uchafuzi wa mazingira kutokana na
matumizi ya bidhaa za plastiki (Beat Plastic Pollution) lakini hapa
nchini Kitaifa ujumbe wa maadhimisho ni “Mkaa Gharama: Tumia Nishati
Mbadala” 



Hata hivyo Makamu wa Rais amesema katika
kufanikisha suala zima la uhifadhi wa Utunzaji wa mazingira mi lazima
tuifanye kila siku iwe siku ya Mazingira. 



COMMENTS

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *