WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumatano, 13 Septemba 2017

 03:58      No comments
 TAGS




Hospital ya Aga khan leo Mei 5, wameanza kufanya upasuaji wa mifupa ikiwemo wagonjwa wa nyonga na magoti ikiwa lengo ni kusaidia wananchi kupata huduma bora za matibabu kwa gharama nafuu na kuokoa gharama za kusafiri nje ya nchi kutibiwa.


Akizungumza na waandishi wa habari Leo jijini Dar es salaam Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Aga Khan, Lucy Hwai amesema kuwa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Aly Khan ya nchini India kwa kushirikiana na madaktari wa Aga Khan nchini watashirikiana na madaktari wa hospitali hiyo kufanya upasuaji kwa wagonjwa wa mifupa na nyonga kwa siku tatu.
 
Aidha amesema ujio wa madaktari hao bingwa utakua endelevu na kwamba utasaidia kuongezea ujuzi madaktari wa hospitali hiyo ili mwakani ujenzi utakapo kamilika wagonjwa watapata huduma ya upasuaji pasipo kusafiri nje ya nchi na kuokoa gharama ikiwemo za usafiri.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Aga Khan, Sisawo Konteh amesema imepanga kuboresha huduma zake kwa kufanya mradi wa upanuzi wa hospitali unaogharimu dola za kimarekani milioni 80 utakaokamilika mwezi Juni mwaka 2017, kwa kujenga majengo ya wodi yatakayo beba vitanda 170.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *