
Mwimbaji staa wa Bongofleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi wake pamoja na ukali wake wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambaye usiku wa June 24, 2017 alitangazwa mshindi wa tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist.
Leo June 25, 2017 Torinto Hot Blog zimempata Diamond Platnumz ambaye anauzungumzia ushindi huo wa Rayvanny.
Video hii ina kila kitu!!!
0 maoni:
Chapisha Maoni