Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya
Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile
(kulia)akisalimiananaMkuu wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir
ShaimunaChandro wakati alipowasilishulenihapo kwenye Sherehe ya
KuwazawadiaWanafunziwashule hiyo waliofanyavizuri katika mitihani
yaoleojijini Dar es Salaam.Katikati ni NaibuMkuu wa shule hiyo Bi.
ZaiAbdi.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya
Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswileakizungumzana
Afisa MtendajiMkuu wa shule hiyo Bw. MahmoodLadak.
MkuuwaShule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir ShaimunaChandroakitoaneno la ukaribisho.
Mwanafunzi Ali
AskherWaljiakifurahiazawadikutoka kwaMgeniRasmi, Mkurugenzi wa Habari na
Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness
Aswilebaada ya kufanya vizuri katika Mitihaniya Taifa ya Daraja la 7ya
mwaka 2016.
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya
Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile, akiwa
kwenye picha ya pamoja nawanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya
Almuntazirwaliofanya katika Mitihani ya Taifa ya Daraja la 7 ya mwaka
2016.
Dokta Faraji Lydenge kutoka
Hospitali ya Taifa ya Muhimbiliakiwa kwenye picha ya pamoja nawanafunzi
wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazirwaliofanya katika mitihani
ya Taifa yadaraja la 4 ya mwaka 2016
- Afisa MtendajiMkuuwaShuleya Msingi ya Wavulana ya AlmuntazirBw. MahmoodLadakakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazirwaliofanya katika Mitihani ya Taifa ya Daraja la 3ya mwaka 2016.
Sheikh Ali Azim Shiraz
akimbusummojawawanafunzi wa daraja la awali wa Shule ya Msingi ya
Wavulana ya Almuntazir, baada ya kumpatiazawadi.
0 maoni:
Chapisha Maoni