Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya
Simanjiro mjini Orkesimet Februari 16, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikabidhiwa zana za asili za kabila la wamasai wakati aliposimikwa
kuwa Mzee wa Simanjiro na kupewa jina la Ole Majaliwa katika mkutano wa
hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro
mji Orkesimet Februari 16, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Mbunge wa Simanjiro, James Ole Milya kwenye Ikulu Ndogo ya
Orkesimet wilayani Simanjiro Februari 16, 2017. Katikati ni Mkuu wa
Mkoa wa Manyara, Joel Bendera.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahia kwaya ya Wamasai wa Simanjiro wakati alipowasili kwenye
uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjairo mjini Orkesimet Februari
16, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni