WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Ijumaa, 17 Machi 2017

 03:00      No comments

PICHA ZA MATUKIO YOTE YA MAZISHI YA SIR GEORGE KAHAMA JIJINI DAR ES SALAAM

 TAGS


Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo  katika kaburi la Marehemu Sir George Kahama katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
 Mjane wa Marehemu Sir George Kahma, Mama Janeth Kahama akiweka udongo  katika kaburi la Marehemu Sir George Kahama katika makaburi ya Kinondoni leo  Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Sanaa  Utamaduni na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiweka udongo  katika kaburi la Marehemu Sir George Kahama katika makaburi ya Kinondoni leo  Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akiweka udongo  katika kaburi
 Marais Wastaafu na wake zao pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa   katika makaburi ya Kinondoni  leo Jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Abdulrahman Kinana akiweka udongo  katika kaburi la Marehemu Sir George Kahama katika makaburi ya Kinondoni   Jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya ndugu wa familia Marehemu Sir George Kahama wakiwa mazishini katika makaburi ya Kinondoni leo jijini Dar es Salaam
 Sehemu ya ndugu wa familia Marehemu Sir George Kahama wakiwa katika makaburi ya Kinondoni leo jijini Dar es Salaam
 Sehemu ya ndugu, marafiki na jamaa wa familia ya Marehemu Sir George Kahama wakiwa katika makaburi ya Kinondoni leo jijini Dar es Salaam
 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na wake zake Mama Sitti Mwinyi na Mama Khadija Mwinyi wakiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Sir Georeg Kahama 
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kaburini
 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe mama Evelyne Warioba wakiweka shada la maua kaburini
 Mawaziri Nape Nnaue ya Mwigulu Nchemba wakiweka shada la maua kaburini
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua   katika kaburi
 Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akiweka shada ya maua kaburini
 Waziri wa Mambo ya Nje Mstafu Mhe. Bernad Membe akiweka shada la maua kaburini
 Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Mstaafu Rashid Othman akiweka shada la maua kaburini
 Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akiweka shada la maua kaburini
 Mhe. Andrew Chenge na mkwewe wakiweka shada la maua kaburini
 Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga akiweka shada la maua kaburini
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa mazishini katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *