Torinto hot Media Blog.
Na Jerome Mlaki wa DAR.
WAZIRI WA NISHATI JANUARY MAKAMBA ameipongeza kampuni ya GAS-FASTA kwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa ges na majiko Bora Naya bei Nafuu.
Akizungumza na mkrugenzi wa Ges-Fasta Mkr. Mohamed Al-Beiti Mh. Waziri Makamba ameonyesha kupendezewa na ubora wa bidhaa za kampuni hiyo na kumpongeza mkurugenzi wa kampuni hiyo.
Ikumbukwe kwamba wananchi wengi wanateseka na mapishi kutokana na ukosefu wa majiko yenye kuendana na Hali zao za maisha.
Fasta Gas inapatikana inchi mzima nanibora Tena inarahisisha mapishi na ipo ktk ujazo Tofauti Tofauti kulingana na uwezo wa kila mtu.
Kwa mahitaji zaidi waweza wasiliana na mawakala wa kampuni ili uweze kujipatia Gas kwa matumizi ya kisasa yanayoendana na maisha ya kila mmoja.
0 maoni:
Chapisha Maoni