WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumanne, 8 Mei 2018

 07:42      No comments



 Torinto Hot Blog.
Katika hali ambayo inayotafriwa kama kuwa juu ya sheria  baadhi ya watu wa meendelea kukiuka matakwa ya kisheria katika kutekeleza baadhi ya  mambo yanayo takiwa kutekelezwa kwa kufuata sheria, Familia moja imelalamika kudai kuwa nyumba yao imevunjwa kinyume cha sheria.


Nyumba hiyo namba 868 iko Upanga  mtaa wa Mfaume.

Akizungumza na vyombo vya habari Msemaji wa familia hiyo Edith Max amemwamba Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Makonda kusaidia  kupata haki yao amabayo inaonekana kuporwa kwa nguvu na taasisi ya Khoja Shia ambayo ili uziwa nyumba hiyo  na  Furaha Finance ambayo ilibadilika na kuitwa I and M Bank.


Akieleza mkasa huo amesema  Familia yao ilikopa fedha TSh Milioni 30 katika bank hiyo na kudai kuwa walipotaka kulipa  deni hilo walizungushwa na baadaye kambi wa kuwa Kuna riba imeongezeka kutoka milioni 30, hadi million 90, wakakubali kulipa lakini kila wakifuatilia kulipa tena wakaendelea kuzungushwa hadi deni likafikia Milion 120 tena wa likubali kulipa  laki bank hiyo ili endelea tena kuwapa kaenda siku ya kulipa baadaye wakabaini kumbe Kuna udanganyifu ilifanywa kwa kugushiwa hati ya Mirathi na mtu asiyetambulika na Familia.

Amesema, Familia yenyewe ili fungua Mirathi yake tarehe 17 Januari katika  Mahakama ya  mwanzo Kinondoni na Msimamizi wa Mirathi hiyo Max Edmund Kafipa .

Awali anasema, suala hili walilipeleka kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Makonda katika Kampeni yake  ya kuwa sikiliza walidhurumiwa nyumba, viwanja na Mashamba  iliyofanyika mwezi January ambapo tarehe 30 pande zote ziliitwa na kujadilianakwa wanasheria na maamuzi yao yanatarajiwa kutolewa  tarehe 7 May 2018.

Hata hivyo  amesema  kabla ya kuanza kuvunja nyumba hiyo wahusika waliopewa uzio la kuvunja lakini walikuwa na kuvunja nyumba hiyo Jambo  ambalo ni kinyume cha sheria.

"Wakili wao alitamka wazi kwa Makonda hana Mamlaka ya kuingilia  mabo haya na hii nyumba tulikuwa tunaitaka muda mrefu" alisema

"Jana walituita wa kasema wanataka watulipe pesa wakatuuliza mnataka tuwape beigani ? tukasema tulipeni bilion 2 wa kasema wakajadiliene watatujulisha baadaye tukashangaa wakaja kuvunja nyumba yetu" Amesema


Kwa upande wake Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mfaume AbdulKarim Gulam Shambe amekili kuwepo kwa Sakata hilo na kwamba wakati wakati wa nakuja kuvunja nyumba hiyo walitoa taarifa wakati wamesha anza Kuvunja, na kueleza kuwa  anafahamu suala hilo lilikuwa tayari mahakamani na baadaye kupelekwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *