Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini jana Aprili 3, 2018 akitokea India alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu.
Katika mapokezi yake, Ndugai amelakiwa na Mke wa rais Mstaafu jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salama Kikwete
0 maoni:
Chapisha Maoni