WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Ijumaa, 6 Aprili 2018

 01:32      No comments
 Na Jerome Mnaki. Torinto hot blog



Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi Joseph Mwasabeja (INSP) (wa pili kulia) akimsikiliza kwa makini mmoja ya watayarishaji wa vipindi wa Kampuni ya Global Group (aliyevaa shati ya blue) wakati wa ziara yake yakukuza mahusiano  alipo tembelea kampuni hiyo mapema leo.

Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi (INSP) Joseph Mwasabeja (kulia) akisalimiana na Meneja wa Kampuni ya Global Group Bw. Abdallah Mrisho (kushoto) alipotembelea Kampuni hiyo mapema leo.

Mwandishi na Mhariri wa gazeti la amani wa Kampuni ya Global Group Bw. Erick Evalist (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi (INSP) Joseph Mwasabeja (wa pili kulia), jinsi Kampuni ya Global Group inavyoendesha shughuli zake kupitia vyombo mbalimbali vilivyopo chini ya kampuni hiyo wakati wa ziara yake yakukuza mahusiano mapema leo. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA - JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *