Mauzo ya Hisa (Turnover/ Liquidity)
Thamani ya mauzo ya hisa imepungua kutoka Shilingi Billioni 53 ya wiki iliyoishia 22 Septemba 2017 hadi Shilingi Bilioni 3 kwa wiki iloyoishia 29 Septemba 2017,
Vile vile idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa imepungua kutoka hisa Milioni 4 ya wiki iliyoishia 22 Septemba 2017 hadi hisa laki 8 ya wiki iliyoishia 29 Septemba 2017.
Mery Kinabo Afisa Habari DSE |
Kampuni zilizoongoza katika mauzo ya hisa ni kama ifuatavyo:
TCC …………………………………………..……66%
TBL…..…..…….………………..……………….…27%
CRDB …………..…….....……….……....…………. 2%
Ukubwa Mtaji (Market Capitalization)
Ukubwa wa mtaji wa kampuni zilizoorodheshwa katika soko umepungua kwa Shilingi Bilioni 115 kutoka Shilingi Trilioni 20.5 wiki iliyopita hadi Shilingi Trilioni 20.3 wiki iliyoishia tarehe 29 Septemba 2017. Kupungua huko kumetokana na kushuka kwa bei za hisa za USL (22%), Kenya Airways (16%) na ACA (9%).
Ukubwa wa mtaji wa kampuni za ndani umeongezeka kwa Shilingi Milioni 71 kutoka Trilioni 9.6 hadi kafika Shilingi Trilioni 9.7 wiki hii. Hii ni kutokana na kupanda kwa bei ya hisa za TCC (11%).
Kampuni
|
29 September 2017 (Shilingi)
|
22 September 2017 (Shilingi)
|
Badiliko (%)
|
CRDB
|
175
|
175
|
0.00%
|
DCB
|
395
|
395
|
0.00%
|
DSE PLC
|
1,200
|
1,300
|
-7.69%
|
MBP
|
600
|
600
|
0.00%
|
MCB
|
500
|
500
|
0.00%
|
MKCB
|
890
|
890
|
0.00%
|
MUCOBA
|
400
|
400
|
0.00%
|
NMB
|
2,750
|
2,750
|
0.00%
|
PAL
|
470
|
470
|
0.00%
|
SWALA
|
500
|
500
|
0.00%
|
SWIS
|
3,820
|
3,820
|
0.00%
|
TBL
|
13,300
|
13,400
|
-0.75%
|
TCC
|
14,600
|
13,100
|
11.45%
|
TCCL
|
1,360
|
1,360
|
0.00%
|
TOL
|
780
|
780
|
0.00%
|
TPCC
|
1,520
|
1,780
|
-14.61%
|
TTP
|
650
|
650
|
0.00%
|
VODA
|
770
|
770
|
0.00%
|
YETU
|
600
|
600
|
0.00%
|
Kampuni zilirodhodheshwa kutokea Masoko mengine
| |||
ACA
|
4,980
|
5,480
|
-9.12%
|
EABL
|
5,420
|
5,370
|
0.93%
|
JHL
|
10,380
|
10,630
|
-2.35%
|
KA
|
100
|
120
|
-16.67%
|
KCB
|
980
|
980
|
0.00%
|
NMG
|
2,360
|
2,180
|
8.26%
|
USL
|
70
|
90
|
-22.22%
|
Mtaji Jumla Makampuni yote (Bilioni)
|
20,355
|
20,470
|
-0.56%
|
Mtaji Jumla Makampuni ya Ndani (Bilioni)
|
9,743
|
9,672
|
0.73%
|
Kiashiria cha DSEI (pointi)
|
2,117
|
2,128
|
-0.52%
|
Kiashiria cha TSI (pointi)
|
3,742
|
3,715
|
0.73%
|
Viashiria (Indices)
Kiashiria cha kampuni zote zilizoorodheshwa katika soko yaani DSEI kimeshuka kwa pointi 12 kutoka pointi 2,128 hadi pointi 2,116 kutokana na kushuka kwa bei za hisa za kampuni Uchumi Supermarket Ltd, Kenya Airways na Acacia Mining.
Hata hivyo kishiria cha kampuni za ndani yaani TSI kimepanda kwa pointi 27 kutoka pointi 3,715 hadi pointi 3,742
Kiashiria cha sekta ya viwanda (IA) kimepanda kwa pointi 65 kutoka pointi 5,078 hadi pointi 5,143
Kiashiria huduma za kibenki na kifedha (BI) wiki hii imepungua kwa pointi 3 kutoka pointi 2,518 hadi pointi 2,515
Kiashiria cha Sekta ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imebaki kama awali kwenye wastani wa pointi 2,475
Hati Fungani (Bonds)
Mauzo ya hati fungani katika wiki iliyoishia tarehe 29 Septemba 2017 yalikuwa Shilingi Bilioni 5.5 kutoka Shilingi Bilioni 36 wiki iliyopita ya 22 Septemba 2017
Mauzo haya yalitokana na hatifungani nane (8) za serikali zenye jumla ya thamani ya Shilingi Bilioni 6.7 kwa jumla ya gharama ya Shilingi Bilioni 5.5.
0 maoni:
Chapisha Maoni