WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Alhamisi, 3 Agosti 2017

 02:54      No comments


 TAGS
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ameagiza Jeshi la magereza mkoa wa Iringa kuanza mara moja Ndani ya mwezi mmoja ujenzi wa Gereza jipya la mkoa wa Iringa kwani lilipo sasa linatakiwa kubomolewa.

Waziri Mwigulu mezungumza hayo akiwa ziarani mkoa wa Iringa kukagua Gereza hilo baada ya kupata taarifa kutoka kamati ya Ulinzi na usalama ya mkoa ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Iringa wakiomba Gereza hilo liondolewe mahala hapo kwani ipo karibu sana na Hospital ya mkoa hivyo kiusalama si mahali salama.
Waziri Mwigulu amesema anawapa mwezi mmoja kuandaa vifaa vitakavyotumika katika ujenzi wa gereza hilo na nyumba za askari huku akiwaambia kuwa wawatumie wafungwa katika ujenzi na kama hawatoshi basi wakawachukue mikoa ya jirani.
Mkuu wa magereza mkoa wa Iringa Afwelile mwakijungu amesema wasingependelea kuona mwingiliano wa wahalifu na wasio wahalifu hivyo wanaona gereza likiamishwa itakua salama zaidi na wanampango wakujenga gereza litakalochukua wafungwa zaidi ya elfu moja ukilinganisha sasa lina uwezo wakuchukua wafungwa zaidi ya 200 lakini hufikia hatua kuchukua mpaka miatano​.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *