WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumatatu, 5 Juni 2017

 05:41      No comments

By
Joe Clanx Lieme on
Baada ya Halima Mdee na Ester Bulaya kuadhibiwa kutohudhuria Vikao vya Bunge kwa mwaka mmoja kwa kosa la kudharau kiti cha Spika, Mbunge huyo wa Kawe ameonesha kutoumizwa na adhabu hiyo iliyotolewa leo June 5 2017.
Badala yake alitumia account yake ya Twitter kupost picha akiwa Moshi kwenye msiba wa aliyekuwa muasisi wa Chadema Ndesamburo na kuandika >>>”Tunamsindikiza jemedari wa MAGEUZI MHE PHILEMON NDESAMBURO kwenye nyumba ya milele!Porojo za DOM haziniumizi kichwa!” Halima Mdee.
VIDEO: Ulipitwa na hii ya Mnyika akitolewa bungeni?Bonyeza play kutazama

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la 

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *