WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumatatu, 5 Juni 2017

 05:47      No comments


  • Saa moja iliyopita
Wakati treni iliwasili mjini Johanneburg alikuwa amepata maumivi ya kujifungua kwa muda saa tanoHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionWakati treni iliwasili mjini Johanneburg alikuwa amepata maumivi ya kujifungua kwa muda saa tano
Mwanamke mmoja amejifungua mtoto akiwa ndani ya treni baada ya hospitali mbili kukataa kumlaza.
Kwa mujibu wa mtandao wa habari wa IOL ni kuwa Francine Ngalula Kalala, alifukuzwa kutoka hospitali hizo kwa kuwayenye ni mtafuta hifadhi nchini humo.
Mtandao huo unasema kuwa alinyimwa matibaua kwenye hospitali mbili mjini Pretoria, ndipo akaingia ndani ya treni kuelekea mji mkuu wa Johannesburg.
Alikaa muda wa dakika 45 ndani ya treni akitabika huku abirai wengine wakijaribu kumsadia.
Wakati treni iliwasili mjini Johanneburg alikuwa amepata maumivi ya kujifungua kwa muda saa tano ndipo akajifungua eneo la kutembea abiria katika kituo cha treni.
Gari la wagonjwa likampeleka hospitalini na mtoto wake ambapo pia alinyimwa matibabu.
Hata hivyo hopitali ya nne ilikubali kumlaza na mtoto wake msichana.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *