Hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekubali wito wa Bunge wa Kuhojiwa na Kamati yake juu ya Tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kulishushia Heshima Bunge La Tanzania,Picha Mbili Zikimuonyesha Mkuu Huyo wa mkoa akiwa Tayari Mbele ya Kamati Hiyo |
0 maoni:
Chapisha Maoni