WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumatano, 29 Machi 2017

 05:08      No comments


A 3
Mwenyekiti wa Dar Jogging, Ramadhan Namkoveka akizungumza wakati wa Tamasha la vikundi vya Jogging Temeke.
A
Moja ya manjonjo ya wana-jogging wakati wa kufanya mazoezi. Manjonjo hayo uwasaidia kutokufikiria kuchoka.
A 2
Mwenyekiti wa Dar Jogging, Ramadhani Namkoveka akiwaongoza wenzake katika mbio hizo.
A 4
Wana-Jogging wakipasha viungo kabla ya kuanza kukimbia ‘mdogomdogo’.
A 5Wana-Jogging wakifanya mazoezi
A 1
Wana Jogging wakifanya mazoezi.
…………..
Wanachama wa Umoja wa vilabu vya jogging (Uvijo) umeomba uongozi wa Chama Cha Kuogelea nchini (TSA) kuandaa mavunzo yamchezo wa kuogelea kwa vijana chipukizi.
Ombi hilo lilitolewa na wanachama wa umoja huo wakati wa tamasha kubwa la vikundi vya jogging lililofanyika hivi karibuni kwenye uwanja wa Mwembe Yanga.
Katika tamasha hilo ambalo lilianzia uwanja wa Taifa, wamia ya wanachama walisema kuwa ni wakati wa wao kuanza kujifunza mchezo huo ili kuendeleza mazoezi kwa ajili ya kuhimarisha afya zao.
Wanachama hao walisema kuwa mchezo wa kuogelea ni mzuri kwa ajili ya mazoezi ya mwili kwani uwezesha viungo vyote kutumika wakati wa mazoezi.
Mwenyekiti wa Dar Jogging, Ramadhan Namkoveka ambaye pia ni katibu mkuu wa TSA alipokea ombi hilo na kuahidi kulifisha kwa viongozi wenzake kwa akjili ya kutoewa maamuzi.
 Wakati huo huo; Uvijo imeanzisha mkakati wa kuviinua kwa uchumi vikundi wanachama wake.
Mkoveka alisema kuwa kuanzia sasa Uvijo ikitoa msaada wa fedha vilabu wanachama kwa lengo la kuendesha miradi yao ya klabu, kukuza sekta ya michezo kwenye mazoezi na vifaa na pamoja na kukuza upatikanaji wa ajira ndani ya vilabu rafiki vya uvijo.
Hii ni mara pili ndani ya umoja huu ambapo mwaka jana waliweza kuichangia klabu ya Dar Jogging kiasi  kama kilichochangwa mwaka huu.
Vilabu wanachama wa Uvijo ni  Dar Jogging, Dovya Jogging,  Tupo Jogging,  Barafu Jogging, Mzimuni Jogging, Tunajenga Jogging, Wasafi Jogging na  Temeke Family.
Tamasha hilo lilifanikiwa kwa msaada wa Times FM Radio, Ndanda Spring water, pamoja na huduma ya kwanza ikitolewa na G1 Security ambao walitoa madaktari pamoja na Ambulance.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *