Aliyekuwa meneja wa wema Martin Kadinda akiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam pamoja na wanasheria |
Na Torinto Hot Media Blog.
Mbunifu wa mitindo maarufiu nchini, Martin Kadinda amesema kuwa yeye sio meneja wa msanii Wema Sepetu kwa sasa bali amefika mahakamani hapo kama rafiki wa karibu wa msanii huyo.
Kadinda amesema hayo katika maongezi maalum na mwandishi huyu juu ya uhusiano wake na Wema Sepetu kwa sasa hasa mara baada ya kuhusishwa na tuhuma za matumizi na
uuzwaji wa dawa za kulevya.
“Kwa sasa mie sio meneja wa Wema.K wa sasa mimi ni rafiki yangu tu wa karibu hivyo nimeamua kuja hapa kwa ajili ya kujua rafiki yangu amefikia wapi katika kipindi
hiki ambacho anapitia magumu” amesema Kadinda
Amesema kuwa yeye kwa sasa anaendelea na biashara yake ya kushona suti tu hili aweze
kujipatia ugali wake wa kila siku na sio kujihusisha na makundi ambayo sio sahihi.

0 maoni:
Chapisha Maoni