WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Ijumaa, 21 Oktoba 2022

 10:48      No comments



Na Jerome Mlaki wa DAR.

Imeelezwa kuwa watanzania wengi hawanufaiki na uwekezaji wa masoko ya kifedha kutokana na kutokuwa na elimu ya kutosha ya maswala ya uwekezaji huo pamoja na utapeli.

Hayo yameelezwa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Watumishi Housing Investment Dkt Fred Msemwa wakati wa mkutano na wadau wa sekta ya fedha, masoko na mitaji ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uanzishaji wa mfuko wa uwekezaji wa Faida fund.


Dkt Msemwa ameongeza kuwa kupitia mfuko huo utawawezesha wawekezaji wenye mitaji midogo kuunganishwa kwa pamoja kupitia Watumishi housing.


Kwa upande wake mkuu wa kitengo cha mitaji ya masoko kutoka CRDB amesema bank hiyo ndiyo itakayokuwa msimamizi mkuu fedha zote za uwekezaji hivyo wanawahakikishia wadau na wawekezaji kuwa uwekezaji huo ni salama

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *