WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Ijumaa, 27 Oktoba 2017

 05:40      No comments

Torinto Hot Blog.

 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akilakiwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga
(DAS) Joseph Sura wakati alipofanya ziara ya siku moja wilayani
humo

 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Mkinga Rashid Gembe 
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akisalimiana na Mkuu wa Polisi wilaya ya Mkinga
(OCD) kushoto ni Katibu Tawala wa Mkinga,Joseph Sura
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
wilayani Mkinga
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega kulia akimsikiliza kwa umakini Katibu Tawala wa
wilaya ya Mkinga (DAS) Joseph Sura kushoto wakati akisoma taarifa ya
wilaya hiyo
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega a
kizungumza na watumishi wa wilaya hiyo kabla ya kuanza
ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali wilayani
humo

 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akiagana na na Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga
(DAS) Joseph Sura kulia mara baada ya kusaini kitabu cha wageni na
kupata taarifa ya wilaya hiyo
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi Abdallah Ulega akilakiwa na Diwani wa Kata ya
Mwakijembe.
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega katikati akiteta jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri
ya Mkinga Rashid Gembe kulia ni Diwani wa Kata ya
Mwakijembe
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega katikati akiteta jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Mkinga,Rashid Gembe
 NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi.Abdallah Ulega akizungumza na Jamii wa Wafugaji wa Kimasai na
wakulima katika Kijiji cha Perani ambapo aliwataka kuishi kwa amani kwa
kufuata taratibu ili kuepusha migogoro baina ya wakulima na
wafugaji 
NAIBU Waziri wa Mifugo na
Uvuvi,Abdallah Ulega amesema serikali itazirejesha ranchi zote
zilizobinafsishwa na kushindwa kuziendeleza.

Amesema ranchi hizo zitagawiwa
kwa wafugaji ili kufunguza tatizo la malisho nchini
jambo.
Kauli ya Naibu Waziri huyo aliitoa
wilayani hapa wakati wa ziara yake ya siku moja ambapo alisema kwamba
lengo la kuchukua ranchi hizo ni kumaliza migogoro ya wakulima na
wafugaji ambao kwa mara kadhaa wamekuwa wakigombania maeneo ya ardhi kwa
ajili ya malisho na kilimo.
Alisema kwamba serikali imeamua
kuchukua uamuzi huo ili kuepusha wafugaji waishio mipakani wasipeleke
mifugo yao katika nchi jirani ambako kuna malisho.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *