WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumatatu, 5 Juni 2017

 05:15      No comments


 TAGS
madri
Wachezaji wa timu ya Real Madrid wakishangilia na kombe lao mara baada ya timu yao kufanikiwa kuchukua ubingwa wa  UEFA Champions League wakati walipoifunga timu ya Italia ya  Juventus usiku wa kuamkia leo Juni  baada ya kushinda magoli 4-1 katika mchezo uliochezwa  kwenye mji wa Cardiff Wales nchini Uingereza.

uefa2
Mchezaji Christian Ronaldo akiwaongoza wenzake kushangilia mara baada ya kuifungia timu yake ya Real Madrid magoli mawili katika mchezo huo mkali.

uefa3
Christiano Ronaldo akishangilia na mchezaji mwenzake Sergia Ramos mara baada ya kushinda mchezo wao na Juventus ya Italia na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-1 mjini Cardiff Uingereza.

Timu ya Real Madrid wameshinda bao 4-1 dhidi ya Juventus katika fainali ya kombe la UEFA mcheze uliochezwa leo.

katika mechi hiyo Ronardo amekuwa mfungaji bora na Kumzidi Mess ambaye alikuwa anaongoza hadi kufikia mwisho wa mchezo Ronardo mabao 12 huku Messakiwa na bao.

 Madrid  watengeneza rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutetea kombe hilo tangu lilipoanza kuitwa UEFA Champions League.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *