WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumatano, 31 Mei 2017

 04:23      No comments


TANZANIA inatarajia kuagiza kutoka nje ya nchi lita Milioni 120 za mafuta ya Dizeli pamoja na lita milioni 80 za mafuta ya Petrori  ambayo yatatumika mwezi wa saba mwaka huu.

Hayo yameeelezwa leo Jijini Dar es Salaam na Raymound  Lusekelo ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Uigizaji mafuta kutoka nje ya nchi wakati wakutangaza tenda kwa kampuni zitakazoshinda dhabuni ya kuingiza mafuta hayo kutoka nje ya nchi

Lusekelo amewaambia waandishi wa habari kuwa mafuta hayo yatarajia kuingia nchini na kusambazwa kwenye kwa wafanyabiashara wadogo wa mafuta nchi kwa ajili ya matumizi husika.

Amesema Kampuni itakayoshinda Tenda hiyo ni ile itakayokuwa na mitaji mkubwa pamoja na kuwepo na wataalamu wenye sifa jambo analosema kampuni za ndani sharti ziwe na sifa hizo ili nazo ziweze kupata tenda hizo.


Hata Hivyo,Lusekelo amesema mafuta hayo yanaoingia nchini yatakuwa ubora katika utumiaji.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *