WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumanne, 21 Machi 2017

 02:17      No comments

 TAGS
 Katibu
Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM, Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani, Dkt. Egina Makwabe,
wakati wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM
zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam, leo. 
 Katibu
Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM, Leonce Nicholaus Mulenda, wakati wagombea hao walipofika
kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es
Salaam, leo. 
 Katibu
Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM, Zainab Kawawa, wakati wagombea hao walipofika kuchukua
fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es Salaam,
jana. Katikati ni dada zake Mariam Kawawa na Zamaradi Kawawa.  Picha na Mafoto Blog
 Katibu
Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM, anayetetea nafasi yake, Charles Makongoro Nyerere, wakati
wagombea hao walipofika kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo
Lumumba jijinin Dar es Salaam.
 Katibu
Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM, Dkt. Evance Mujuni Rweikiza, wakati wagombea hao walipofika
kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es
Salaam.
 Katibu
Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM, Shedrack Mana Mashauri, wakati wagombea hao walipofika
kuchukua fomu hizo kwenye Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijinin Dar es
Salaam.
 Aliyewahi
kuwa Miss Tanzania wa mwaka 1998, Kada wa CCM, Basila Kalabha Mwanukuzi akiongozana
na mtoto wake, Patrick Nubi, wakitoka Ofisi ndogo za CCM Lumumba, jijini Dar es
Salaam, kuchukua Fomu za kuwania nafasi ya Ubunge Bunge la Afrika Mashariki.
Baadhi ya Makada wa CCM jana walijitokeza katika Ofisi hizo kuchukua Fomu baada
ya kutangazwa kuanza kutolewa fomu hizo. 
 Wagombea wakipishana kuingia kuchukua fomu kwenye Ofisi hizo Lumumba jijini Dar leo.
 Baadhi ya Vijana waliojitokeza kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo wakiwa katika foleni ya kuiingia kuchukua fomu.
 Badhi ya Makada wakiwa katika foleni kusubiri kuingia kuchukua fomu.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM,Moses Bahati Ole-Neselle.
 Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM,Grace Emmanuel Sameji.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM,Nicholaus George Ngassa.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management

CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio

Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *