Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo
vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye
Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014.
Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
Rais
wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza
kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo,
uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, akizungumza
kabla ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo, uliofanyika leo
Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya
ufunguzi rasmi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka katika Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro, baada ya kufungua mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi
Mukajanga, wakati akiondoka mara baada ya kufungua mkutano huo. Kushoto
ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Asah Mwambene. Picha na OMR
0 maoni:
Chapisha Maoni