Na. Mwandishi wetu.
Hayo yameelezwa na Mhe. Dkt Dorothy Gwajima waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wakati wa ufunguzi wa warsha ya wastafu iliyoandaliwa na CRDB waziri ''amesema, Mtu ambaye hajaandaliwa kuandaa wahudumu wa kuhudumia kaya hawezi kutosha kuwa mwalimu wa kaya.
Aidha ameeleza Wastafu wameandaliwa kustaafu hizo klabu za malezi na makuzi kwenye jamii ataziandaa nani ziwe na heshima na kushepu vijana wetu na watoto wetu kama sio hawa wazee wenye uzoefu ambao wamezeeka kwa salama na kwa amani.
Walioandaliwa tusipowaandaa tutafanikiwa huo mpango hatufanikiwi jamhuri ya muungano wa tanzania na ulimwengu mkubwa akaconnect benki ya CRDB ilivyofundishwa na wazee na wenyewe wakapata thamani na kuongeza thamani yao kwa kufanya shughuli za kijamii
Huduma ya maadili malezi na makuzi vinginevyo ndio tutafika miaka 80 lakini tutakuwa tumezungukwa na kizazi ambacho sijui kama mnanielewa bidii dira ya wazee hoyee hoyee jamani mmenichoka nimalize au niendelee ah piga makofi kwako hata hivyo tunatambua kuwa si kila mstari ana mazingira yanayofanana wapo wenye uwezo wa kuendelea na shughuli za kiuchumi wapo wanaohitaji msaada wa karibu zaidi hasa kuna wenye ulemavu pia wamestaafu uongo ukweli tunataka tuwaone huku wewe utakuta watu wana sauti nzuri ya kuimba akaanzisha club.
Aidha niwapongeze wastaafu wote mliojitokeza kushiriki katika jukwa hili uwepo wenu unaonyesha kuwa hamjaacha kujifunza kutafuta fursa na kupanga mustakabali wa maisha yenu na familia zenu huo ndio moyo tunaoutaka kuuona kwa wastaafu wetu katika zama za maisha marefu
kuhusu ustawi wa wastaafu hatuzungumzi tu kuhusu watu waliomaliza muda wao wa utumishi katika sekta mbalimbali bali tunazungumzia walimu waliozalisha wataalamu mahiri nchini watumishi wa afya waliokuwa maisha wakulima na wafanyakazi waliochangia uzalishaji pamoja na watumishi wa umma na sekta binafsi walioijenga nchi yetu kwa juhudi na maarifa yao
Serikali inatambua kuwa maendeleo tunayaona leo hata maendeleo ya mabenki haya si mlipitisha hela huko jamani haya maendeleo yote haya yamejengwa juu ya mchango wa watu hawa tulio nao hapa leo kwani barabara shule hospitali taasisi na mifumo mbalimbali ya utoaji huduma nchini ina alama ya jasho la wastaafu wetu hongereni sana wazee wetu.
Tunakila sababu ya kuwaheshimu hawa wazee yasiposemwa haya hawataelewa na wao kizazi chao kina kazi ya kuyapeleka mbele maendeleo haya hicho tunachokiona leo katika maeneo mbali mbali kinachorahisisha sisi vijana wa leo kuweza kuishi hivyo tunavyoishi katika hatua hiyo ni wazee hawa wamefanya yanaweza yasionekane lakini ni makato yao ni juhudi zao ambazo waliziwekeza ndio zitapeleka uwepo wa miundombinu kuwapongeza wazee wetu tafadhali ndugu wageni waalikwa nimefurahishwa sana na kauli mbiu ilikuwa hili isemayo ndoto zako hazista yaani eh kuwa mahala pale ulipotakiwa kuwa tumefundishwa hapa na walimu wetu maana yake ni nini lakini bado unazo zinatakiwa zifike mwisho huu ni ujumbe mkubwa ambao ningependa kila mstaafu aondoke nao leo kustafu kazi siku staff maisha kustaafu ajira siku safu uwezo wa kufikiri kubuni kuwekeza au kushiriki katika shughuli za maendeleo bali ni kuingia katika hatua nyingine ya maisha ambayo inaweza kuwa na fursa nyingi endapo mtu atajiandaa na kuzitumia ipasavyo maana wazee wasiachwe kupewa elimu kuhusu dunia inaenda wapi kuna vitu gani uwezeshi kwa ajili ya kusukuma maisha yao ndio maana tunataka tuifanye iwe ni program na sio matukio ya kuwahusu wazee naweza kusema tena kustaafu huku tunakokusema kwa wenzetu ambao wakati wa utumishi wao walitamani kuanzisha biashara kufuga kujenga nyumba za kupangisha au kutumia salamu zao taaluma zao kuwasaidia wengine lakini walikosa muda wa kutosha kustaafu hivyo kustaafu kunaweza kuwa fursa ya kutimiza baadhi ya ndoto zao wewe unastahili miaka 55 60 una miaka ya kwenda mbele mpaka ufike 80 una zaidi ya hapo kama una nguvu na nguvu zazitengeneze wewe utafika mpaka miaka 100 sasa wewe si sawa tu na dira ya taifa ya miaka 25 ijayo lazima leo utoke hapa useme ehe ama





0 maoni:
Chapisha Maoni