WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Alhamisi, 25 Mei 2023

 14:48      No comments

Na Jerome Mlaki wa Dar.  25, 2023


MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Swissport Tanzania, Mrisho Yassin amesema licha ya changamoto ya ugonjwa wa Uviko-19, bado kampuni hiyo ilifanya vizuri katika kukusanya mapato kwa mwaka 2022 kulinganisha na mwaka 2021, ambapo faida ilikua Sh bilioni 2.1.



Amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa mwaka kati ya kampuni ya Swissport na wanahisa uliofanyika leo Mei 25, 2023 jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mkutano wa 38 lengo likiwa kupitisha hesabu za kampuni na kufanya gawio kwa wanachama.



Amesema Kampuni ya Swissport imekusanya mapato ya Sh Bilioni 37 na kupata faida ya Sh bilioni 2.5 kabla ya kodi ya VAT, hivyo itatoa gawio la faida ya hisa kwa mwaka 2022, kwa wanachama wake.



0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *