WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumanne, 25 Julai 2017

 00:07      No comments
Torinto Hot Blog
on
Rais Magufuli leo July 24, 2017 ameweka jiwe la msingi katika miradi mikubwa miwili; mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi Tabora, Igunga na Nzega pamoja na mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa ndege wa Tabora na kufungua barabara mbili za Tabora – Nyahua na Tabora – Puge – Nzega.
>>>”Niwaombe viongozi Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi musimamie kero za Wananchi. Muwe mnakaa angalau kwa kila wiki kila kiongozi katika mahali alipo wasimamie matatizo ya Wananchi.
“Matatizo ya Wananchi ni mengi wanashindwa kuvumilia wanaona Rais pekee ndiye  anaweza akatatua yale matatizo. Niwaombe sana kuanzia Mkuu wa Mkoa, Mawaziri, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi muwe mnashughulikia matatizo na kuyamaliza.
“Nitakuwa natembelea mikoani nitakapokuwa napewa matatizo na matatizo hayo yawe yalikuwa chini ya uwezo wa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Katibu Tarafa, Mwenyekiti wa Kijiji kuyatatua na hakutatua, mimi nalala mbele na huyo kiongozi.” – Rais Magufuli.
Kufahamu zaidi alichokisema JPM bonyeza playa hapa chini kutazama.
“Wapo waliomwita Kafulila Tumbili, Mimi nakwambia hongera” – Rais Magufuli
VIDEO: Ulipitwa na kitu Zitto Kabwe ameongea mbele ya Rais Magufuli Kigoma? Bonyeza play kutazama hapa chini.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *