ANGELA KAVISHE ni mmoja kati ya wananchi ambao wamejikita katika kilimo cha kisasa kwenye mazao ya kibiashara kama Mapapai Vitunguu, Alizeti nk.
Yupo tayari kwa yeyote ambaye ataitaji kupatiwa elimu ya kilimo cha kisasa au mwenye kuhitaji bidhaa zilizotajwa hapo juu kuwasiliana nae kupitia Blog Hii.
0 maoni:
Chapisha Maoni