WELCOME TORINTO HOT MEDIA BLOG | FOR MORE INFORMATION ABOUT OUR NEWS CONTACT US CELL: +255 756 188 180 | Email: josephlieme@gmail.com| KARIBU TORINTO HOT MEDIA BLOG | KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU HABARI ZETU WASILIANA NASI SIMU: +255 756 188 180 | Barua Pepe: josephlieme@gmail.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Jumatano, 11 Oktoba 2017

 05:23      No comments
tORINTO hOT blog.NA MWANDISHI WETU joseph lieme dar

Kuelekea siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho,Kampuni ya Mawasiliano ya  Vodacom Tanzania PLC, Imeanza kuadhimisha siku hiyo muhimu kwa kutoa elimu ya uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho kwa baadhi ya wanafuzi wakike wa  Shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo mbezi Beach jijini Dar as Salaam.

"Akiongelea kuhusiana na mafunzo waliyokuwa wanayatoa kwa wanafunzi hao,Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Jacquiline Materu alisema wamefurahia sana kupata frusa ya  kuwafundisha wasichana hao na kuwapa motisha kwamba hakuna mipaka ya kufikia malengo yao ya hapo baadaye bali ni juhudi zao wenyewe kamwe wasije kukata tamaa kwani wanaweza"Alisema Materu.

Mkuu huyo alifafanua zaidi kwamba pamoja na kuwawezesha wanawake na kukuza usawa wa kijinsia ni muhimu kuharakisha maendeleo endelevu. Kumaliza aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake na wasichana ili haki za msingi za kibinadamu ziweze kufanyiwa kazi kwani kuna athari nyingi kwa maeneo ya Taifa letu. Alisema.

"Bado hakuna usawa  katika upatikanaji wa ajira na ulipwaji wa mishahara  ulimwenguni na bado kuna mapungufu makubwa kati ya wanaume na wanawake katika soko la ajira"
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam waliotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania PLC yaliyopo moroko jijini Dar es Salaam,wakiwasikiliza kwa makini viongozi wa kampuni hiyo,Kuhusiana na uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho.Ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia.

Mkuu wa kitengo cha ripoti na taarifa M-Pesa,Nelusigwe Mwangota(kushoto)akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wakike wa shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam,kuhusiana na uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia ,Wanafunzi hao walitembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania PLC  moroko jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wanafunzi wakike wa shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi  wa Masoko na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama kuhusiana na uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia ,Wanafunzi hao walitembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo  moroko jijini Dar es Salaam.


Meneja chapa wa Vodacom Tanzania PLC,Yvonne Maruma(kulia)akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wakike wa shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam,kuhusiana na uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia ,Wanafunzi hao walitembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo  moroko jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam waliotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania PLC yaliyopo moroko jijini Dar es Salaam,wakipokea zawadi toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Rwakatare baada ya kuwaelimisha juu ya uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia.
Baadhi ya wanafunzi wakike wa  shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja wa Chapa wa Vodacom Tanzania PLC,Yvonne Maruma walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo moroko jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza njinsi ya uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii elimu hiyo ilitolewa na wafanyakazi wa kampuni hiyo ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia.

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wanafunzi wakike wa  shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi baadhi ya wanafunzi wakike wa  shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam wakati wanafunzi hao walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo moroko jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza njinsi ya uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii elimu hiyo ilitolewa na wafanyakazi wa kampuni hiyo ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia.

Mkuu wa kitengo cha cha maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania PLC, Brigita Stephen(kushoto)akiongea na baadhi ya wanafunzi wakike wa shule ya Sekondari ya Mtakuja iliyopo kunduchi beach jijini Dar es Salaam kuhusiana na uwezo wa mtoto wa kike kuweza kushika nyadhifa mbalimbali katika jamii ikiwa ni matayarisho ya kuelekea maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani hapo kesho ikiwa ni chini ya lengo namba tano la mpango wa maendeleo- Usawa wa Kijinsia ,Wanafunzi hao walitembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo  moroko jijini Dar es Salaam.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Kurasa

Translate

Popular Posts

Blog Archive

Tangazo!

JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO?

WEIGHT MANAGEMENT

WEIGHT MANAGEMENT

SIKILIZA NYIMBO MPYA

Watembeleaji

On Facebook

Tangazo Victoria!!

Date & Time

Weight Management



CLICK THIS IMAGE

Sikiliza Clouds Radio



Sikiliza Kwanza Jamii Radio

Total Pageviews

Fomu ya Anwani

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *